Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee hv hawa mbona pmj na kukaa ndani la bado wana maambukizi makubwa tu.

Wako mbioni kuandamana pia.
Hii imegeuka biashara. Wamepewa mkopo wa dola milioni 800 na Benki ya Dunia kwa ajili ya Korona. Ni lazima waendelee kufanya hivi ili ku-justify. Kuna video wagonjwa wanaosemekana wana Korona wanalalamika kuwa wamekaa sana quarantine wodini zaidi ya siku 14 na hakuna kinachoendelea....
 
Huu utumwa ndio maana Magufuli aliukataa.

Huko ni kutesana kbs.
 
Hii Ni Orodha Ya Makabila Ya Tanzania.Kuna matatizo kwenye majina kadhaa katika orodha hii, kwasababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya Ethnologue ya lugha za Tanzania, pamoja na tovuti nyingine. Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya. Juu ya hivyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kwamba kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vinavyo mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.
 
Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani. Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani. Ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia au Uhindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…