Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanapeana maarifa huko. Poda hii huku Marekani imeshapigwa marufuku na mwaka huu Johnson and Johnson wametangaza kuwa wameacha kuitengeneza rasmi. Ina asbestos kwa wingi na inasababisha kansa ya mapafu (mesothelioma) pamoja na kansa ya hatari sana isiyo na dalili kwa akina mama - Ovarian. Haifai kwa matumizi ya muda mrefu !!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hilo jimama la Botswana (mmangaka) linanifurahishaga sana. Halafu liko free na linajitambua....


Login β€’ Instagram
 
Hatari sana
 
Khaaaaa kwa mawazo haya kumbe ndio maana ulinikimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…