Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara paap mama samia anaibukaTop 3
dae umbeya
- major general issa suleiman Nassor
- hussein mwinyi
- -----------------------
nipo nje muda huu nimetulia na kimeo changu, nyumba ya jirani kuna familia fulani ni CCM wa kutupwa (wale wenyewe) ndio wanamzungumzia huyu jamaaa.
yajayo yanafurahisha
View attachment 1482620
huo umbeya nilioupata sina uhakika nao:Mara paap mama samia anaibuka
anamalizia umakamo wa raisiMara paap mama samia anaibuka
Duh aiseee itakua kwelihuo umbeya nilioupata sina uhakika nao:
kwa mujibu wa hii familia wanasema huyo jamaa ameshaandaliwa kitambo....
hata kuonana naye imekuwa ni shidaa kwa sasa
analindwa (sijui kwa sababu gani)
maamuzi yapo kwenu chamwinoDuh aiseee itakua kweli
[emoji818][emoji818]
Daah maalim seif alipoteza muda sana bora angekua anaandaa kakijana ka kuja kutikisa tena chaguzi za mbelenmaamuzi yapo kwenu chamwino