myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!!Baby; ndo nimeshuka kwenye Uber nakata kona hapo mwisho niingie kwenye geti. Please nifungulie wambea wasinione.
View attachment 1482681
AiseeNokia 1100 ndiyo kifaa cha umeme kinachoshikilia rekodi ya kuuza vifaa vingi zaidi vya umeme. Zaidi ya Nokia 1100 milioni 250 ziliuzwa dunia nzima.
He!! Vyoo vya aina gani hivyoZaidi ya simu 100 000 zinadondoshwa chooni kila mwaka nchini Uiengereza.
yes ila ukiwa madarakani, nje ya hapo heshima yako ni ya kawaida…….
dunia itamkumbuka Zaidi shein na karume kama maraisi wa Zanzibar na si umakamo wa raisi wa muungano
...and he lost himself...
dunia ya connection.....Dunia?
Dunia gani bro itamkumbuka rais wa nchi iliyo ndani ya nchi imsahau Makamo rais wa nchi yenyewe?