Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kulala muhimu na kuamka mapema muhimu. Kila nikiwaza hela za vocha nawahi kupumzika hahahahkhaah.....hivi unalala kweli...? 😂
Kulala muhimu na kuamka mapema muhimu. Kila nikiwaza hela za vocha nawahi kupumzika hahahahkhaah.....hivi unalala kweli...? 😂
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe. Kipindi corona imepamba moto nilipata dharura ya kukaa sehemu yenye mkusanyiko kidogo yaan wacheza bao walikuwepo,wanywa kahawa,wasoma gazeti wa kutosha,wachomesha CD eneo lilikua full watu na wala hawana barakoaBar zimefurika, vijiwe vinajaa, mikusanyiko kila kona bila barakoa, watu wanapeana mikono kama zamani.
Yaani ni full shangwe.
Maisha kama zamani tu.
Inashangaza na kuogopesha tukisikia takwimu za Corona kwenye mataifa jirani na kwingineko
Kulala muhimu kweli, Basi wewe una speed sana na wakorea....nikitizama episode 3 chaliii....!Kulala muhimu na kuamka mapema muhimu. Kila nikiwaza hela za vocha nawahi kupumzika hahahah
Mi naona corona ikichachamaa kwenye nchi hii tunafutika kama mende waliomwagiwa Baygon.Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe. Kipindi corona imepamba moto nilipata dharura ya kukaa sehemu yenye mkusanyiko kidogo yaan wacheza bao walikuwepo,wanywa kahawa,wasoma gazeti wa kutosha,wachomesha CD eneo lilikua full watu na wala hawana barakoa
Enzi hizo ilikua hivyo lakini siku hizi zinanoga sana hasa nikiwa nimechoka huku pepsi big ikishuka taratiiiiibuuuuuuKulala muhimu kweli, Basi wewe una speed sana na wakorea....nikitizama episode 3 chaliii....!
Kabisaaaaa aiseee siombei maana ntakua mfano wa watu wazembeMi naona corona ikichachamaa kwenye nchi hii tunafutika kama mende waliomwagiwa Baygon.
Maana hatusikii la "muadhini wala mnadi swala"
Nitajaribu na hiyo pepsi big 😂 😂 🤗Enzi hizo ilikua hivyo lakini siku hizi zinanoga sana hasa nikiwa nimechoka huku pepsi big ikishuka taratiiiiibuuuuuu
wala sishangai....Mshangao.
Bilionea Mo akiangalia mpira kwenye ki TV cha nchi 32
Lala![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Kufanya Kazi kwa bidii.Suala nzima la kufanikiwa katika maisha linahitaji kujitoa na kujikana kila mara iitwapo leo ili kuhakikisha unafanikiwa na kuwa na mwelekeo mzuri na mwema wa kimaisha.Kufanya kazi kwa bidii huendana na ufanisi na ujuzi wako ulionao, ambavyo katika vyote hivyo pamoja ukizingatia vitaleta matokeo chanya na ya tofauti katika ulimwengu wako wa uhitaji wa mafanikio yako.Acha kuwa mtu wa malalamiko na kukata tamaa kwa haraka, bali anza kuanzia sasa kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili kuongeza kipato chako cha kila siku unachohitaji maishani.