Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama vile ulivyotoa muda wako kwa wakati huu kusoma makala hii katika mtandao huu, hakikisha tabia hii uliyoianza isiondoke kwako kabisa bali uiendeleze kwa bidii na juhudi kubwa kila siku maishani mwako.Anza kusoma vitabu mbali mbali vinavyohusu na kuongelea maendeleo ya mtu binafsi, utajiri, kuwekeza, afya, usafi, ufanisi wa kazi, masoko nk. vitabu kama vile Self Made Millionare, Rich Dad Poor Dad, Maximum Achievement, The power of positive thinking nk.
 
wala sishangai....
song il kook nyumbani kwake hana tv .... si tajiri kama mooo lakini nchi anayoishi ina maendeleo ya viwanda na ana mikataba ya kibiashara na samsung, lg n.k
View attachment 1486424

Online schooling of 1st and 2nd graders started today! We used the projector because we don’t have a TV and we had lost the online connection... Shout out to all the elementary school parents!
.
Aaah huo sasa ni ubahili wake tu. Hela anayo huyo na katokea familia tajiri
 
Tembelea mitandao mbali mbali yenye kutoa elimu na mafunzo mbali mbali ya kibiashara, maendeleo ya mtu binafsi, utajiri na kuwekeza nk. Mitandao kama vile huu wa facebook na mingine mingi iliyopo kwa sasa.Uhusiano Mzuri na watu.Katika dunia ya leo kama unahitaji kufikia mafanikio makubwa zaidi maishani mwako, hili ndio jambo au siri muhimu unayopaswa kuitekeleza haraka na kuizingatia kwa umakini mkubwa.
 
Kuwa na uhusiano mzuri na watu wa karibu yako ulionao ni jambo jema linaloweza kukuweka katika mazingira mazuri zaidi ya mafanikio makubwa na ukawa mtu wa tofauti na wengine katika nyanja zote za kimaisha.Kama ukikosa uhusiano mzuri na watu kuna athari kubwa ya kukosa furaha na amani; na kama ukikosa furaha na amani kuna athari kubwa pia ya kukosa uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi na bidii, kwa sababu umekosa furaha inayokufanya uwe mwenye amani katika mazingira ya kazi na watu wenyewe kiujumla.Kuwa na Nidhamu ya Muda.
 
Hili ni jambo ambalo watu wengi wa jamii yetu tuliyonayo wameshindwa kulifanikisha kwa asilimia kubwa katika mazingira yao yote ya kimaisha na kazi, hivyo limesababisha watu wengi kushindwa kufikia malengo makubwa na mazuri waliojiwekea maishani mwao.Nataka nikuambie muda ndio msingi mzuri na wa kipekee wa kukusaidia kufikia malengo yote ya kwako uliojiwekea na unayotaka yafanikiwe katika maisha yako hapa duniani.Huwezi kufikia mafanikio makubwa na kufanikisha malengo yako kama bado hauna nidhamu ya kutosha ya kutunza muda ulionao kila siku.
 
Jifunze kwenda na muda ili uongeze ubora wako, heshima yako na nidhamu yako binafsi katika maisha yako na eneo la kazi kiujumla kila siku.Nidhamu ya Matumizi ya Fedha.Suala la kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha limenenwa sana na watu wengi katika dunia ya leo. Waandishi wengi wa vitabu vya kibiashara na maendeleo ya mtu binafsi wamejaribu kulisema na kulielezea jambo hili kwa ufanisi katika vitabu vyao mbali mbali walivyovitoa.
 
Kujiamini na Kujikubali binafsi.Ni moja ya siri kubwa ambayo watu wengi hawajaitambua na wengine kuitambua lakini kutoitilia maanani katika utekelezaji wake.Kujiamini ni hali pekee ndani ya mtu ya kuwa jasiri bila uogo katika jambo lolote lile analolikabili mbele yake. Huku kujikubali pia ni sehemu muhimu inayomfanya mtu kujiona wa tofauti na wa kipekee katika mazingira ya kile anachokifanya au kutaka kukifanya.
 
Hivyo tambua mambo yote hayo mawili yanaenda pamoja pasipo jambo moja kuacha jingine. Ni vyema kabisa uwe na tabia ya kujifunza kujiamini na kujikubali kama kweli unahitaji kufanikiwa na kufikia maono na malengo yako makubwa uliyonayo hapa duniani.Huwezi kufanikiwa kamwe kama hauna tabia ya kujiamini na kujikubali katika jambo lolote unalotaka kulifanya au unalolifanya. Tabia hizi mbili huleta tabia nyingine ya UTHUBUTU yaani tabia ya kujaribu kufanya mambo na huondoa uoga ndani ya mtu.
 
happy father's days
1592855462523.png
 
Back
Top Bottom