Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1592854737720.jpg
 
Tuwe na tahadhari bado ipo.Imekula mke wa jirani yangu alikuwa mchungaji,alijifungia akiwaombea ikamgeukia yeye.Pia imekula mdada nilisoma nae chuo,familia wamefungiwa kwa uangalizi.
Take care of yourself, Mlugaluaga. This COVID-19 is real and It's still out there! Maparachichi ndio yanazidi kuwiva, ooh! 😅😅
 
Historia inatukumbusha.....Mwaka 1665 kulikuwa na Mlipuko wa Ugonjwa wa Tauni almaarufu kama "Black Death" nchini Uingereza. Shule, Vyuo na huduma mbalimbali zilifungwa kwa lengo la kupunguza kasi ya maambukizi ya Tauni kama inavyofanyika sasa tunapokabiliana na Virusi vya Covid-19. Wakati huo, Isaac Newton alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cambridge. Na Cambridge ilifungwa! Hivyo, Newton alilazimika kuwa nyumbani kati ya mwaka 1665 na 1666.
 
Back
Top Bottom