The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
sahihi kabisa,Usipite njia ya mkato ambayo hujawahi kupita wakati una haraka. Unapokuwa na haraka, utafanikiwa kwa kupita njia sahihi kuliko kupita njia ya mkato. Njia za mkato mara zote huwa na madhara, hasa unapokatisha kwenye ubora wa kile unachofanya ili kukamilisha kwa wakati au kwa gharama kidogo.