Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUCHUKUA HATUA ZA HATARI.

Shindwa haraka na shindwa mapema. Chochote unachofanya kwenye kazi au biashara, hutaweza kufanikiwa kama unafanya kawaida. Unahitaji kuchukua hatua ambazo zinaonekana ni za hatari. Hivyo unahitaji kushindwa haraka na kushinda mapema, kwa kujaribu vitu hatari. Kwa kushindwa huko, utakuwa umejifunza mapema na kujua kilicho sahihi kufanya.
Kweli...
 
Tayari...[emoji16][emoji16][emoji16]
91fd95c2-9ebc-43cd-ad9f-ade19acc567c.gif
 
It must be overwhelming kuwa na madaraka makubwa kiasi hiki. Ukiamka vibaya tu unafuta watu na kuwaharibia maisha yao
Mi nakubaliana naye.
Kuna watu wanataka uongozi kama uwaziri kwa ajili ya mapambo, ili wajimwambafai mtaani na si kwa nia ya kuwatumikia wananchi.
Dawa yake ni kuwaweka kwenye Dilemma wasijue walipokosea.
Kuna mifano mingi sana ya watu wa aina hiyo.
Zamani kulikuwa na katibu mkuu ofisi ya Waziri Mkuu aliitwa William Shelukindo, aliachana na cheo hicho kikubwa wakati Mkapa anaingia madarakani eti aje apate cheo cha uwaziri Mkuu.
Mkapa alimchinjia baharini.
Kuna bwana mmoja anaitwa Mbena, alikuwa katibu wa Rais Ikulu, naye kaenda kugombea ubunge kwao Morogoro vijinini ili apate uwaziri, rais wa sasa akampotezea, huyo Mbena mpaka jimbo amelitelekeza maana malengo yake hayakutimia.
Aende na mwendo huo huo ili kuwakomesha wenye vihele hele
 
It must be overwhelming kuwa na madaraka makubwa kiasi hiki. Ukiamka vibaya tu unafuta watu na kuwaharibia maisha yao
Kuna watu barani humu wanavichukulia vyeo kama kivutio kwenye mambo yao na si kwa nia ya dhati ya kutumikia jamii, ndiyo maana hutokea watu wana papatika kuyaacha madaraka makubwa kama ukatibu mkuu wa wizara,IGP nk ili wapate ubunge kwa manufaa mengine.
Dawa yake ni hiyo tu
 
Back
Top Bottom