myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
We acha tu.....Mi naona corona ikichachamaa kwenye nchi hii tunafutika kama mende waliomwagiwa Baygon.
Maana hatusikii la "muadhini wala mnadi swala"
Weka kwenye glass ya madoido huku ukijiona kama unakunywa soju vile hahahahaNitajaribu na hiyo pepsi big 😂 😂 🤗
Aaah huo sasa ni ubahili wake tu. Hela anayo huyo na katokea familia tajiriwala sishangai....
song il kook nyumbani kwake hana tv .... si tajiri kama mooo lakini nchi anayoishi ina maendeleo ya viwanda na ana mikataba ya kibiashara na samsung, lg n.k
View attachment 1486424
Online schooling of 1st and 2nd graders started today! We used the projector because we don’t have a TV and we had lost the online connection... Shout out to all the elementary school parents!
.
Wakishua bhana🏃♀️🏃♀️😆😛Weka kwenye glass ya madoido huku ukijiona kama unakunywa soju vile hahahaha
hahahahahaaaaaa labda ana sababu zake msingi......Aaah huo sasa ni ubahili wake tu. Hela anayo huyo na katokea familia tajiri
Hahahahaa eti wakishuaWakishua bhana🏃♀️🏃♀️😆😛
Gudnyt aunt.👋
hahahahahaaaaaa labda ana sababu zake msingi......
hahahahahaaaaaa labda ana sababu zake msingi......