Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Teh teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu kamanda mpaka wakuroge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1489936
Lazima aliwe tuAmezingirwa !!!
View attachment 1489968
Hii ni kweli kabisa, hawa wadudu mpaka kwenye Hotel za nyota tano unaweza kukutana nao.Uwepo wa Kunguni haina uhusiano wowote na Uchafu, wanaishi sehemu yoyote ambayo uwepo wa chakula chao ni rahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbu huvutiwa zaidi na damu ya watu ambao hupendelea kula ndizi.
Duh!!Emile Ratelband kutoka Uholanzi mwaka 2018 alifungua kesi akiitaka mahakama imbadirishie umri wake kutoka miaka 69 mpaka 49. Alidai kama kisheria mtu anaweza kubadili jina, kwanini asiruhusiwe kubadili umri. Alidai badiliko hilo la miaka lingemuwezesha kuwa kwenye uhusiano na wanawake vijana zaidi.