Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longoKama utauza viungo vyote vyako mwili wako utavuna kiasi cha Tsh billion 104.9.
Zingatia:maisha yako ni bora kuliko utajiri usiokuwa na maana.
Mpaka hapa umeshakunywa tayariNingekuwa nakunywa pombe leo ningegonga za kutosha mwee[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mwenyewe nimejicheka kwa hayo maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ankooo unanibebesha mlima kilimanjaro ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekoma kuuliza maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakati katika dunia yetu inanyesha mvua ya maji basi ni tofauti na sayari ya Jupiter ambayo mvua yake ni Almasi.
Hajajua ya kuwa kutamani ama kuwazia kilicho katazwa kutendwa unakuwa umekitenda automatikale na radha umeipata na umeinjoi kwa kuitengenezea mafeeling ya raha ya utamu waziwa...Mpaka hapa umeshakunywa tayari
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longo
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longo
Nimekoma kuuliza maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ni kweli kabisa. Lakini anko una uhakika bado tunaongelea pombe?Hajajua ya kuwa kutamani ama kuwazia kilicho katazwa kutendwa unakuwa umekitenda automatikale na radha umeipata na umeinjoi kwa kuitengenezea mafeeling ya raha ya utamu waziwa...
duh! billionair laizer wamejaaa huko mitaa ya jupiterWakati katika dunia yetu inanyesha mvua ya maji basi ni tofauti na sayari ya Jupiter ambayo mvua yake ni Almasi.
mama weeeeeeee........ hiyo internet angeliipata dae urojo bin ugali bin sembeeeeKatika kituo cha anga cha marekani (NASA) kama utapakua (download) kitu chenye GB 91 kwa kasi ya mtandao katika eneo lile basi kitaingia kwa sekunde 1 tu. Vipi huko kwenu ? Audio yenye Mb 5.3 inachukua mda gani?
wengine leo tumekimbia presentation.....chezea englishi'Didaskaleinophobia' Ni ugonjwa wa kisaikolojia wa kuogopa kwenda shule na kuhudhuria vipindi vyote kikamilifu vya darasani.
ππππππ wewe kweli ni aunt yanguπ§ββοΈThe Happiness umeshajaribu ya haaaah na woooah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uanti damuni kabisaaaππππππ wewe kweli ni aunt yanguπ§ββοΈ
π π Yani nimecheka sana.....na zile alphabet nimeimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uanti damuni kabisaaa