Mkuu mambo niaje majukumu yamebana sana plus mwaka wa uchaguzi nimetia nia Jimbo la ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ubingwa baada ya miaka 30 lazima nipite hapa
Mkuu mambo niaje majukumu yamebana sana plus mwaka wa uchaguzi nimetia nia Jimbo la ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ubingwa baada ya miaka 30 lazima nipite hapa
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longo
Vipi? Umekipenda? Tufanye biashara nipate pesa ya bia mimi,maisha ndio haya haya mama [emoji1][emoji1][emoji1]Mmmmmh [emoji848]
Yego kutiki wasu
Nitarudi vurugu za mashabiki wa Livapuu zikipungua. Wanaudhi yaani mpaka basi [emoji51][emoji51][emoji51].
Siku na sisi Aseno tukibeba ubingwa watatukoma [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi? Umekipenda? Tufanye biashara nipate pesa ya bia mimi,maisha ndio haya haya mama [emoji1][emoji1][emoji1]
Upo Shem wangu shy vipi kwemaChasugu mwanawasu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo Shem wangu shy vipi kwema
This is Liverpool
[emoji818][emoji818]We pambana na kilimo cha parachichi tu