Je Sayansi itaweza hili? Ndio swali nilojiuliza kichwani , Alcor ni shirika linalojihusisha na kufufua watu lipo Arizon, kwa sasa unalipa Tsh million 470 kisha mwili wako unahifadhiwa katika majakofu, ili itakapo gundulika teknolojia ya kuwafanya wafu kuwa hai na wewe ufanyiwe, unaweza kujiandikisha kabla ujafa na ukifa wanakuja kuchukua mwili wako hadi sasa ni watu 1230 wamejiandikisha na maiti 200 zimehifadhiwa.