D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
thanksFollow me on Instagram g_computeraccessories for more
Follow me on Instagram g_computeraccessories for more details karibu sana
Kapteni John BokoHuyu aliyepo mbele ndio nani?
Nakutafuta sana.Abee,
Niko hapa, karibu sana.Nakutafuta sana.
Wako poa sana, wamenituma nikwambie wanakuhitaji sana, wazungumze na wewe.Niko hapa, karibu sana.
Watu wa Milimani hawajambo?
Haha, Nini kimefanya nimepata mwaliko huo wa ghafla..?Wako poa sana, wamenituma nikwambie wanakuhitaji sana, wazungumze na wewe.
Upole, na akili yako. Wameniambie nenda tunakutuma kwa yule binti mrembo na mpole kule changanyikeni.Haha, Nini kimefanya nimepata mwaliko huo wa ghafla..?
Nimepokea mwaliko kwa bashasha tele....Wape shukrani zangu....Naelewa mjumbe hauwawiπUpole, na akili yako. Wameniambie nenda tunakutuma kwa yule binti mrembo na mpole kule changanyikeni.
Mimi ni mjumbe tu, siwezi kukataa maagizo ya wakubwa zangu.
Sababu wamekufatilia muda mrefu sana, ila wakaniambia hivi "Japo tahadhari ni muhimu, ila mgeni tena muungwana hakaribishwi akaishia mlangoni au kibarazani,bali ni vizuri afunguliwe mlango, na kukirimiwa kwa maji kisha aseme alicho tumwa". Hili ni ombi toka kwa wakubwa zangu.Haha, Nini kimefanya nimepata mwaliko huo wa ghafla..?
Mimi niko salama salimini, sijui hali yako wewe mwenyeji wangu.Nimepokea mwaliko kwa bashasha tele....Wape shukrani zangu.
U hali gani lakini?
Kweli wakubwa zako wako na busara nyingi sana, nimependa.!Sababu wamekufatilia muda mrefu sana, ila wakaniambia hivi "Japo tahadhari ni muhimu, ila mgeni tena muungwana hakaribishwi akaishia mlangoni au kibarazani,bali ni vizuri afunguliwe mlango, na kukirimiwa kwa maji kisha aseme alicho tumwa". Hili ni ombi toka kwa wakubwa zangu.
Namshukuru Mungu nami niko vyema.Mimi niko salama salimini, sijui hali yako wewe mwenyeji wangu.
Ahsante mwenyeji, hakika nikirudi kwa wakubwa zangu, lazima wataniuliza "Je uliingia mpaka ndani ?". Mimi sababu ni mkweli tena muaminifu siwezi kufanya khiyana nitawajibu "Hakika mwenyeji wangu msimamo wake ni ule ule, hataki niingie ndani, ila amenikirimu sana lakini tukiwa nje".Kweli wakubwa zako wako na busara nyingi sana, nimependa.!
Karibu uketi, kisha upate chochote kitu toka kwa mwenyeji wako.
Furaha iliyoje kwangu mimi mjumbe, kutumwa kwa kipenzi cha wakubwa zangu, tena nimekukuta uko salama salimini.Namshukuru Mungu nami niko vyema.
Embu niambie tatizo nini? π πFuraha iliyoje kwangu mimi mjumbe, kutumwa kwa kipenzi cha wakubwa zangu, tena nimekukuta uko salama salimini.
Hakika wewe ni mkarimu sana, ila tatizo ni..............
Tatizo umelitatua kwa umahiri mkubwa sana, wakubwa zangu watafurahi sana.Embu niambie tatizo nini? π π
πππππ Tafadhali usiwafikishie hizo habari,watachukia sana.Ahsante mwenyeji, hakika nikirudi kwa wakubwa zangu, lazima wataniuliza "Je uliingia mpaka ndani ?". Mimi sababu ni mkweli tena muaminifu siwezi kufanya khiyana nitawajibu "Hakika mwenyeji wangu msimamo wake ni ule ule, hataki niingie ndani, ila amenikirimu sana lakini tukiwa nje".