andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu ni mwema tupo vizuri kabisa. Anko mgeni naamini anainjoika na maisha mapya[emoji16]
Sijambo Ankoo, nyumban wazima hapo?
Salama TH, za siku nyingi? Kwema pande hizo?
Ankoo nmecheka sana hyo sentensi ya mwisho[emoji16][emoji16][emoji16] dahMungu ni mwema tupo vizuri kabisa. Anko mgeni naamini anainjoika na maisha mapya