Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji1][emoji1][emoji1] nimemis kuombwa msamaha na yeye.....namzungusha siku mbiliHahahahah mie simooo
Inlaw kuna mtu anakuchokoza huku ukujeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YANGA wamenishinda tabia kwa kweli, khaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1493802
Ni utafiti hawezi kukujibu [emoji1][emoji1][emoji1]Numbi hii imekaaje
Aah, niwape hongera tu wapinzani wetu.....Wakati wako ndio huu! Ulipotelewa wap.?Kwema kabisa
Nasherekea ubingwa tu hapa
Embu akijibu nitag [emoji4][emoji4]Ni utafiti hawezi kukujibu [emoji1][emoji1][emoji1]
Nipo majukumu yalibana sana hila sasa nipo free kiasi nachart kwa raha zanguAah, niwape hongera tu wapinzani wetu.....Wakati wako ndio huu! Ulipotelewa wap.?
Duh! JiraniTafiti: Wanawake wanaopenda kucheza magemu hupendelea kufanya ngono zaidi pia huwa na furaha zaidi katika mahusiano yao
Namjua Esta, hawezi kujitwisha mlima Kilimanjaro kichwani...Embu akijibu nitag [emoji4][emoji4]
Pole sana na Karibu tena Nyumbani...Nipo majukumu yalibana sana hila sasa nipo free kiasi nachart kwa raha zangu
AiseeTafiti: Inaeleza kuwa wanaume hula chakula kingi zaidi kama watakuwa wanakula pamoja na wanawake, sababu inatajwa ni kuwavutia wanawake.
Hizi tafiti sijui Kama ziko sahihjMwanamke anaweza kupata mimba akiwa tayari na Mimba, Lakini pia anaweza pata mimba ya mapacha kutoka kwa wanaume wawili tofauti.
Duh!!!Mfalme Sobhuza wa Pili kutoka Swaziland ambae alifariki mwaka 1982 alikua na wake 70 na watoto 210.
He!!! Wewe...Mwanamke ana DNA za wanaume wote aliofanya nao tendo la ndoa, DNA hizo zinapatikana zaidi katika ubongo wake. Kila anapofanya mapenzi manii ya mwanaume hukaa mwilini mwake na kuwa sehemu ya mwili wake milele, Hiyo ndio sababu wana ndoa wengi huanza kufanana wakiishi pamoja muda mrefu.Chanzo: University Of Seattle
Sawasawa... MisapotumiaTafiti: Bustani ya Eden inatajwa kuwa mahali ambapo ilikuwepo ndio nchi ya Iraq kwa sasa tunayoifahamu.
23:0723:06
Amun RaPole sana na Karibu tena Nyumbani...