Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi naona ni ushamba tu, ila kwa kesi ya uchebe na shishi nadhani uchebe asilaumiwe sana kwsbb mambo ya ndoa bhana ni magumu na wanaweza wahusika tu.
Hlf talaka ya Instagram nayo mmmmh, ina walakini.
Wanawake mliopo kwenye uzi huu karibuni kwenye mjadala huu, kuhusiana na mila inayolalamikiwa ya kucharazana bakora baina ya wanandoa.
 
Kuna dada furani wakati tunaishi mitaa yetu pendwa, alikuwa mpole sana, hapendi ugomvi.
Lakini akipata hisia za wivu mtiti wake huuwezi.
Yaani anaweza kukuchapa kibao, ngumi au akakupiga na .mwiko au hata sufuria la ubwabwa.
Wapole nawaogopa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi kujitetea kwao ni machozi, akijitahidi saana basi, atakuvaa mwilini.
Wangu sipatagi shida naye yakimpanda ya Ng'wanamalundi,najibebea tu hadi sehemu iliyo changamka yaani hamsikilizani mpaka uongee kwa kupayuka.
Mida mida namrudisha kwa ajili ya kilimo...
Kesi finish....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…