andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hakuna itakayo fuata bali yatamwagika chiniYes hiyo ndiyo itaanza halafu zitafuata nyingine
Ulionaje mapema hivyo?Yes hiyo ndiyo itaanza halafu zitafuata nyingine
Anko habari ya siku nyingi?Yes hiyo ndiyo itaanza halafu zitafuata nyingine
Hatimaye [emoji137]
Wanafiki kwenye ubora waoMakasiriko hayafaiView attachment 1502294
Ushawahi kumchapa kofi mwenzakoMi naona ni ushamba tu, ila kwa kesi ya uchebe na shishi nadhani uchebe asilaumiwe sana kwsbb mambo ya ndoa bhana ni magumu na wanaweza wahusika tu.
Hlf talaka ya Instagram nayo mmmmh, ina walakini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi kujitetea kwao ni machozi, akijitahidi saana basi, atakuvaa mwilini.
Wangu sipatagi shida naye yakimpanda ya Ng'wanamalundi,najibebea tu hadi sehemu iliyo changamka yaani hamsikilizani mpaka uongee kwa kupayuka.
Mida mida namrudisha kwa ajili ya kilimo...
Kesi finish....
Oohh hapo sawaHakuna itakayo fuata bali yatamwagika chini
Halafu watakao komenti kwa kutukana na kukupongeza ni watoto walio zaliwa miaka ya 2000's.Jiandae na ww, kesho nakuandikia gazeti mahakama ya Instagram. Nasema matendo yako yote uliyonikosea.
Ni kweli aseeSasa umeona eeeh!? Fumbo umelileta mwenyewe nilifikiri una majibu. Zoë ndiye jiniazi wetu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
View attachment 1502299
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi kujitetea kwao ni machozi, akijitahidi saana basi, atakuvaa mwilini.
Wangu sipatagi shida naye yakimpanda ya Ng'wanamalundi,najibebea tu hadi sehemu iliyo changamka yaani hamsikilizani mpaka uongee kwa kupayuka.
Mida mida namrudisha kwa ajili ya kilimo...
Kesi finish....
HongeraYes hiyo ndiyo itaanza halafu zitafuata nyingine
[emoji23][emoji23]Hatimaye [emoji137]
Nitakuwepo bageshi. Na ile dharau yake ya kutupa tung'ombe tukondefu twenye vichwa vikubwa kama siafu usiisahau. It is time dunia ijue [emoji16][emoji16][emoji16]Jiandae na ww, kesho nakuandikia gazeti mahakama ya Instagram. Nasema matendo yako yote uliyonikosea.
Niliangalia kwa makini tu nikaona ndoo nyingine kama zimezibwazibwa ila namba tatu ilikuwa na nafasiUlionaje mapema hivyo?