mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahah anko banaMkuu haujagundua mpaka sasa kuwa Esta ndiye binti mpole kuliko wote humu "kijiweni"?
Angekuwa mtoto wangu nisingemuozesha kabisa, hastahili kushiloliwa hata kwa nusu sekunde
Na kichwa kinaanza kumuuma hapo hapo na tumbo la chini la kukata...Ukizubaa unaweza ukanyimwa hivi hivi unaona [emoji16][emoji16][emoji16]Watanzania ni waoga wa midushee, wazungu hawaogopagi kitu[emoji23][emoji23]
Mtanzania akiliona tu tayari anapata sukari, presha, vidonda vya tumbo nk
Kuna mtu hapa amenikomalia dah !!!Oh I wish awe na akili hiyo! Wengi hawajali kuhusu hili.
Professionals mnajuana [emoji16][emoji16][emoji16]Nimependa hii ya Wade! Yani kitu inashikwa ki-professionally!!
Programing ni rahisi sana! Hii pia ni kilevi ukianza kidogo utataka tena na tena!! Jisomee tutorials ni nyingi Onlinena ni free.Kuna mtu hapa amenikomalia dah !!!
Nijitose bro au niache? Java sijui uwii! Mara sijui nyoka python...
Nataka nijifunze tu kama hobby hata nikiishia kuwa na fununu inatosha....ila anapiga hela ndefu sana yaani na kapandishwa cheo kuwa VP wa Quality Assurance katika likampuni likuuubwaaa...
Ama nijifunze hii au Chinese language...kila baada ya miaka mitano huwa najifunza kitu kipya sasa hapa nimekwama....
Mimi nataka unifundishe wewe crushPrograming ni rahisi sana! Hii pia ni kilevi ukianza kidogo utataka tena na tena!! Jisomee tutorials ni nyingi Onlinena ni free.
Tutawezana😃Mimi nataka unifundishe wewe crush
Mdogo/kijana wangu kwema?Programing ni rahisi sana! Hii pia ni kilevi ukianza kidogo utataka tena na tena!! Jisomee tutorials ni nyingi Onlinena ni free.
Kwa nini tusiwezane [emoji16][emoji16]Tutawezana[emoji2]
Hii magnitude 9 ilishawahi kutokea poti? 😂😂Professionals mnajuana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii mizigo yangu mimi hakuna cha profesheno wala nini ukigusa tu ni earthquake magnitude 9 katika kipimo cha Richter....
Kwema Bro.. Heshima Yako!Mdogo/kijana wangu kwema?
Mambo hayo nayatamani sana lakini majukumu yananibana. Nifanyaje au nitapataje muongozo nijisomee mwenyewe hata kwa vitu vya juu juu?
Anko mimi ni mzazi, migogoro kwenye mahusiano mara nyingi muathirika ni mwanamke. Wababa kwa kiasi kikubwa tuna hofu na binti zetu kwenye maisha yao ya ndoaHahahahah anko bana