Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana Anko, mimi ni mjinga, somo lolote lenye hesabu naelewa haraka sana. Sasa hii kitu sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1502424🏃‍♂️🏃‍♂️
Hahaaa, watu waliozoea kukariri mambo ya Integral ya Sinxdx=-Cosx+C utawajua tu! Wakuchomekee angalau vi-Binary equations humo ndani. 😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka [emoji1787][emoji1787]
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
Mkuu,mambo ya kwenye mitandao sio ya kuyaamini sana.Mimi nikisema nina hiki na hiki bado hautakiwi kuniamini maana ni maneno/picha tu ninazo kuonyesha uhalisia haupo.
Tafuta watu wachache muaminiane basi mtajengana lakini sio mambo ya timu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…