andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu asaidie ziwemo ili maisha yawe mepesi, kinyume cha hapo capitalpool atanichoka mapemaNilitishwa kuwa zimo zimejificha. Eti sijui Set Theory, Probability na mambo ya lojiki sijui ndiyo msingi wake. Aaaaargh !!!
Tayari....Naona hujaniuliza chchte wala hujasoma msg
Hufai [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mungu asaidie ziwemo ili maisha yawe mepesi, kinyume cha hapo capitalpool atanichoka mapema
Mimi ni kutengeneza App za kwenye simu na kurekebisha rekebisha kiwebsite changu mara chache chache. Nianzie wapi bro?Programming haisomwi hivyo, unatakiwa kujua kwanini unataka kujua lugha hiyo,
Lengo:
Unataka kufanya nini na lugha hizi, kutengeneza Games, Phone App ama Web? then nitakuambia nini cha kujifunza kuendana na interest.
Kwa hivyo tukionana tena hapa ujena jibu Anko.
Ahsante mkuu, ndio maana hapo awali nimesema niandae maelezo ili ujue unanisaidiaje.Programming haisomwi hivyo, unatakiwa kujua kwanini unataka kujua lugha hiyo,
Lengo:
Unataka kufanya nini na lugha hizi, kutengeneza Games, Phone App ama Web? then nitakuambia nini cha kujifunza kuendana na interest.
Kwa hivyo tukionana tena hapa ujena jibu Anko.
Hatari sanaNimependa hii ya Wade! Yani kitu inashikwa ki-professionally!!
Inabidi uwe na Basics za java script, CSS na HTML! tools pia 'Visual studio'.Mimi ni kutengeneza App za kwenye simu na kurekebisha rekebisha kiwebsite changu mara chache chache. Nianzie wapi bro?
Kabisa! Tunaenda vizuri.Man Utd mambo mazuri.
Karibu sana ndugu yetuMgeni jf
Msimu ujao watukabidhi tu ndoo yetu kwa ajili ya msimu ujao..😅Kabisa! Tunaenda vizuri.
Jizazi [emoji15][emoji15][emoji15]Inabidi uwe na Basics za java script, CSS na HTML na tools zake kama Vile Visual studio.
Codding Basics zake (JS)
- Loops
-Variables
- If statement
-Function and Arrays ni muhimu kuzifahamu.
Kwa hivo Unaweza kuanza kupitia Tutorial mbalimbali ili kujua maana ya vituhizo na Application zake.
Si mlitaka kumfukuza Ole nyinyi majuzi tu hapa? Au nimechanganya madesa?Kabisa! Tunaenda vizuri.
Swadakta[emoji120][emoji120].Mwenyezi Mungu anasamehe kila mtu isipokua yule anaetangaza mwenyewe aibu/dhambi zake kwa watu wengine.
Zama zimebadilika Bro! Kuna Jembe letu moja hilo linaitwa Bruno Fernandez 😃 Jamaa kabadili team nzima!!Si mlitaka kumfuka Ole nyinyi majuzi tu hapa? Au nimechanganya madesa?
Swadakta[emoji120][emoji120].
Mtu mzima na kundi la watoto watano anakuja kutangaza aibu zake hadharani.
Hana aibu kabisa, kisa nini,? Gari?
Heri kujitangazia mali ambazo hauna, inakuwaje kujisifia umalaya!? Unapata nini?Jamani yaani niwe masikini huku Mbagala na mtandaoni mnataka niwe masikini. Nevaaaa !!![emoji16][emoji16][emoji16]