Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii ipo google binti mpole..Ipo google au playstore?kwa sauti ya innocent dependent
Nyumba yake ya kwanza kumiliki ilikuwa mtaa wa Kitomondo.Hivi mzee Kimambi alianzia maisha Kitomondo kule chini?
Alifedheheshwa sana. RIP
Yale wanayoyasema juu ya kifo chake yanaukweli wowote bro?Nyumba yake ya kwanza kumiliki ilikuwa mtaa wa Kitomondo.
Alikuwa mpenda watu na watu walimpenda
Huyo kijana ni timu domo damu damu. Nyuzi nyingi za kumsifia domo zimeandikwa na huyu mwambaHii ipo google binti mpole..
Huyo uliye mmention hapo juu ni nani? Huwa naona nyuzi mbalimbali humu wanam mention... Ni nani kwani huyu?
Uzima upo hapo Mererani?
Mbona mi kila siku nasema naishi kijijini nalima kila kitu huku.Habari za mitqndaoni ni kuwa wote ni matajiri, wote wako high class, wote wametoka mjini, wote wasomi, wote wana mahusiano bora n.k
Tunaosema wa simiyu tumebaki wachache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini kilisababisha ajiueMi nilifanya kazi na marehemu Kimambi tangu wakati huo anaishi mtaa wa Kitomondo Temeke.
Alikuwa mtu mwema mwenye kusikiliza shida za watu.
Ofisini kwake pale mtaa wa Nkrumah kila siku utakuta watu wamejazana, wanamsubiri wapate chochote.
Hata alipopata tatizo lililopelekea kujiua watu tumepiga kimya, ingawa tunakijua kilichosababisha kujiua kwake.
Mange aheshimu watu, maana babake aliheshimika ingawa alikufa kifo kibaya
Oohh yuko analeaSaint Anne yuko wapi
Mbona mi kila siku nasema naishi kijiji nalima kila kitu huku.
Maisha yapo hapo.
Na kilimo kinaendelea.
Nyie wa mjini endeleeni kula bata[emoji23]View attachment 1502773View attachment 1502775
Ombi langu nakumbushia
Nimeshituka nilitaka nishangae
Eti ee tena wanasema walituma kanda zile za vhs na mpokeaji mange na muwekaji kwenye deki ni yeye kisha laivu familia nzima ikashuhudia daah. Moudy eti ni kweli?Yale wanayoyasema juu ya kifo chake yanaukweli wowote bro?
Ha ha ha aisee, sikuwa najua kama ndio mambo yake hayo, asante kwa kuni updateHuyo kijana ni timu domo damu damu. Nyuzi nyingi za kumsifia domo zimeandikwa na huyu mwamba
Akiangalia movie akaipenda mtajua tu
Akiomba app ya movies lazima atauliza ipo google au playstore
Huku kwa leiza wazima kabisa,tunasubiria jiwe lingine liibuke
Za huko je bwana jezi wetu,kijana uliyeuteka moyo wa Depal
Hayo yamepita.Eti ee tena wanasema walituma kanda zile za vhs na mpokeaji mange na muwekaji kwenye deki ni yeye kisha laivu familia nzima ikashuhudia daah. Moudy eti ni kweli?