Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Shukrani..Nimekumiss pia.
Za kuadimika?
Haituhusiwi kutangaza aibu za watuDaah niambie hata pm basi rafiki naona wote humu mnajua kasoro mimi tu
Umetoa maelezo wee mwisho una hakiki kwa swali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Eti ee tena wanasema walituma kanda zile za vhs na mpokeaji mange na muwekaji kwenye deki ni yeye kisha laivu familia nzima ikashuhudia daah. Moudy eti ni kweli?
Kumbe ndiyo haoVigogo wa JFView attachment 1502801
Dae njoo utie neno. Kukoje huko? Huyu kweli alitakiwa huko au ni sababu tu ya system?Ni Dr Hussein Mwinyi
Mgombea Urais ZnzView attachment 1502851
Uwiii mie kajamba nani ntamsogeleaje mtu kama nambua kumuuliza haya mambo acha tu niishie kwa hizo tetesiUmetoa maelezo wee mwisho una hakiki kwa swali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mdada mtoto wa Rita Mlaki mtafute, huyo moud umri umeenda na ni mtu wa dini sana hawezi kukupa jibu