Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu nahitaji DVD za Season 3 na 4 za Jumong ambazo hazijatafsiriwa kwa kiswahili lakini zenye subtitles za English na Korea. Ni duka gani naweza kupata hapa Tanzania.
 
Mzee wa miaka 50?

Sasa sisi wa 75 tuitweje?
 
Hahahahaha sikujua km leo naweza cheka km hv[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Khaaaa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…