Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ya wasanii kila kitu ni sanaa tu kwao
 
Hahaha.....mbwe mbwe na majisifu mengi kumbe tako tano tu chaaaaaali.

Nilishaga wahi kujisifu kwa manzi mmoja hivi ila kilichotokea siku ya tukio/kupewa mzigo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Siri yangu japo na yeye alichangia kuzolota kwangu
Huwa inatokeaga sana aisee. Ila makosa unayarekebisha kwenye mechi ya marudio [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu ndiye mwanasiasa wa maisha.
Mwanasiasa Stephen Wasira ni mtu asiye na bahati.
Mwanasiasa huyu angebahatika kupata urais wa Tanzania tungekuwa na rais wa maisha kama ilivyokuwa kwa Kamuzu Banda, Mobutu Seseseko au kama ilivyo kwa Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Biya wa Cameroon.


Mzee Wasira gombea urais ufaidi siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…