Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa nimekuelewa. Yaani nikiondoka na matatu hivi hata bilionea Laiza akasome.

Hujambo lakini bro? Huendi kupambana na Mwigulu na Kitilla? Kachukue jimbo hilo bro...
Kabsa bro, bilionea Laiza akasome

Uzima upo bro,hofu huko ulipo na hali ya hewa inazidi kubadirika kila siku.. Poleni

Ha ha hapana bro,acha watie nia tu... Siasa mchezo mchafu sana,kila la kheri kwao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…