Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nikajua ndege mnyamaAnaitwa Michel Lotito ameingia katika kitabu cha Guinnes Book of record kwa kula ndege aina ya Cessna 150 yote na kuimaliza kabisa.
Duh!Mbuni ana spidi kuliko farasi.
Mbuni anaweza kupiga kelele sauti yake ikafunika ngurumo ya simba na Mbuni anaweza kumpenda binadamu kimapenzi.
Tena iwe n mkopooh, Ndio utajua kuwa hujui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1509368