Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Halafu moud unakuja hapa unasema ileje tumewazidi sumbawanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hesabu:- mahari uliyoitisha tunagawa kwa (idadi ya wanaume ulio date nao + umri wako + jumla ya umri wa watoto uliozaa nje) + umri uliotolewa bikra= mahari tutakayo toaUna kipi cha ziada kuwashinda wengine?View attachment 1511182
Labda ya kwake ina tiviii kwa ndani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Una kipi cha ziada kuwashinda wengine?View attachment 1511182
Au anunue supplements yake. Akipata ile potent itakuwa safi. Na harufu huwa wanaipunguza. Unameza vidonge viwili kwa sikuMaziwa fresh yanakata harufu. Vitumie tu kwa afya yako mkuu
Kabisa...Tena gari ya kukuletea hesabu jioni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tena Harrier kabisa au Rav4 nzuri tu [emoji16][emoji16][emoji16]Duh....bei ya gari..
Usinigombanishe na kaka angu[emoji3]Kwangu safi sana.. hamia United yatakuwa safi sanaa
Hapo usije kushangaa unajikuta unapata jibu negative !!!Hesabu:- mahari uliyoitisha tunagawa kwa (idadi ya wanaume ulio date nao + umri wako + jumla ya umri wa watoto uliozaa nje) + umri uliotolewa bikra= mahari tutakayo toa
Ahsante kwa kuongezea shemeji, tumsaidie mzee wa pwani kwa hili [emoji1][emoji1][emoji1]Au anunue supplements yake. Akipata ile potent itakuwa safi. Na harufu huwa wanaipunguza. Unameza vidonge viwili kwa siku
Hivi huyu Mdingi bado ni mmiliki wa ile Rungwe Oceanic? Hivi bado ipo, mda sijakatiza mitaa hiyo.View attachment 1510779hakuna kutaka tamaa.