Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Tupo wengi tunazifatilia hizi tafiti zake bro..Mpaka leo nimeota nasoma hizi tafiti dah! Esta yaani katukamata kweli kweli. Tafiti bomba sana hasa zikigusa haya mambo matamu ndo kabisa mi ananimaliza.
Kuko salama huko kwako bro?
Duh!!Tafiti: Wanaume wengi huchepuka na wanawake ambao hawawafikii kwa mvuto mke/mpenzi aliyenae.
Usiku wa pipi...Usiku wa kula...
Pipii na maziwa....Usiku wa pipi...
Hata mie sijui[emoji125][emoji125] moyo wa mtu hausemewi bro unaweza sema hivi kumbe mhusika anawaza vileMara nyingi ni kweli. Nieleze sababu zake kisaikolojia? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mie sijui[emoji125][emoji125] moyo wa mtu hausemewi bro unaweza sema hivi kumbe mhusika anawaza vileMara nyingi ni kweli. Nieleze sababu zake kisaikolojia? [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mpaka leo nimeota nasoma hizi tafiti dah! Esta yaani katukamata kweli kweli. Tafiti bomba sana hasa zikigusa haya mambo matamu ndo kabisa mi ananimaliza.
Kuko salama huko kwako bro?
Lazima tuibuke kidedea
Mtoto anakula chakula kwa wazazi naye ana mtoto wake [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23].Siasa siziwezi kamanda. Usitishwe na makelele yangu humu. Kiuhalisia siyo mwongeaji sana na wala siyo social kivile. Ni mimi na mishe zangu tu. Sasa hii ya kuanza kujikomba kwa watu na unafiki itakuwa mtihani sana. Siasa zina wenyewe. Hata wewe nahisi unaziweza sana tu, kama haumo ndanimwe tayari. Na ubaya/uzuri hamsemagi. Si ajabu tunapishana mabarabarani huko mnatumwagia matope mkiwa ndani ya ma V8 yenu ya serikali. Shwaini zenu [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi SYB[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1514863
AminMungu awaponye wagonjwa wote...