Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukute moud ni mtu maarufu tu ila hatujui.
Ila hapa kuna profesa, Bingwa wa fani furani anayefundisha chuo furani.
Kuna muhadhiri mwanadamizi wa chuo furani.
Kuna mbunge wa jimbo furani,
Kuna mdada mtumishi wa uma kutoka kitengo furani[emoji23][emoji23] huenda ukawa wewe [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Inawezekana hapa STD 7 ni Mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wewne hujajitaja??
Ukute wewe ndiye Yule waziri wa Maliasili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…