Maji ni dawa. Magonjwa mengi yaliyokuwa yakikusumbua siku za nyuma hutayasikia tena. Anza kubadili tabia kwa kuchagua kunywa maji badala ya soda au juice za mabox. Pendelea maji
Maji ni dawa. Magonjwa mengi yaliyokuwa yakikusumbua siku za nyuma hutayasikia tena. Anza kubadili tabia kwa kuchagua kunywa maji badala ya soda au juice za mabox. Pendelea maji
Ni sawa na mmiliki wa gari kuamua kuweka maji kwenye rejeta pale litakapoanza kuchemka utaishia kuathiri gari. Dereva mzuri pamoja na mambo mengine ni lazima ajihakikishie maji kwenye rejeta.
Saa yako moja ya kwenda kulala hakikisha unaitumia kupitia malengo yako kama unapicha za malengo yako tafadhali pitia hizo picha zote. Kumbuka akili hufanya kazi kwa haraka kupitia picha. Hebu kuwa na album ya malengo yako.
Tumia saa yako moja kwa kufikiri. Jiachilie na anza ziara na ubongo wako ukiwa umetulizana au anza kufikiria suluhisho la tatizo linalokusumbua na utashangazwa na ubongo wako utakavyokupa namna mbalimbali za kutatua
Orodhesha hadi zifike ishirini na anza kuzitumia, ya kwanza isipofanya kazi nenda ya pili na ya tatu naamini hata kabla ya kufika ya 10 utakuwa umepata suluhu.
Nikuombe kitu kimoja. Idhibiti simu yako. Ikibidi wakati wa kufanya jambo linalokuhitaji utulivu na kuzingatia zima kabisa mpaka utakapomaliza ndio uwashe. Acha visingizio ati nikizima nitakosa taarifa mbalimbali. Hivi hizo taarifa zimekufikisha wapi?
Mwanzoni anza na alamu na baada ya siku 21 hutahitaji alamu tena kwani ubongo wa ndani utakuwa umekuelewa ya nini unahitaji na utaendelea kukutimizia. Huchukua siku 21 kuiandikisha tabia mpya.
LAZIMA UBADILI UNAVYOCHUKULIA NA KUFANYA MAMBO. MADILIKO NI MUHIMU MAANA NDIO YATAKAYOLETA MATOKEO MAPYA NA SI MWAKA MPYA. MWAKA UKUKUTE UMEBADILIKA SANA. HAPO LAZIMA KITAELEWEKA.