moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mzee wa kaziRambo na mabint zakeView attachment 1520555
[emoji1787][emoji1787]Huyu carbamazepine, popote alipo; my Beibe, my Kivuruge. Embu ukuje basi, tumekumisimo. Kuna mvinyo za kufa mtu kwa ajili yako yaani, maua ndio usiseme; nishapata tuition ya nguvu toka kwa SYB hapa. Hata IBIZA safari hii tutaenda walahi. [emoji16][emoji16]
Uzima upo sana japo Korona imerudi kwa spidi ya 5G. Kwako vipi huko? Wanasemaje hao marafiki zako Wasukus? Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kabsa bro, mama yupo vizuri sana japo umri umeenda..
Heshima yako bro, Uzima upo huko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi nywele ukikutana na msusi mwenye stress zake utafurahi mwenyewe zinaumaaaaa
AminWagonjwa Mungu awaponye...
Amin[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema[emoji120][emoji120]
[emoji26][emoji26][emoji26]Lupasoooo
Team membe bana[emoji23][emoji23]Dongo gizani[emoji2089][emoji2089]
View attachment 1520558
AstaghafilullahHaya mambo yameshafika mpaka Afrika?
Kuna rafiki yangu Mjamaika ana binti yake yuko chuo kikuu anasomea uhandisi wa umeme. Tena binti kweli kweli siyo mchezo. Ni majuzi tu ndiyo nimegundua kuwa kumbe alizaliwa akiwa mvulana na hapo alipo bado ana mkuyenge. Ameshamaliza maandalizi yote na therapy za mwanzo (hormones, operesheni za kuweka matiti, kupandikiza msambwanda...); na sasa yupo anaomba kuchangiwa pesa huko GoFundMe ili aanze kufanya operesheni kamili ya kuondoa mkuyenge na kuweka kipochi manyoya ili awe mwanamke kamili. Na ana ndoto za kuolewa na kuwa na familia. Ndiyo dunia yetu hii [emoji51]
Salaam mkuu[emoji16][emoji16]
Kwema huko?!Salaam mkuu