Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo makwapa yetu ya Bongo haya wallahi. Wanusaji wengine watazirai aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Makwapa ya wanaume wa Afrika yana dawatiba nyingi kuliko bara lingine.
Nawashauri akina dada wanuse sana makwapa ya wanaume wa Afrika hasa wale wanapiga kazi sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hiyo ni kweli lakini si wangesubiri asubhi wampigie!?
Unampigia usiku kiasi hicho wakati amepumzika!?
Najaribu kuvaa viatu vya Klopp, namuelewa! Lazima uwe chizi kiasi. Miaka 30 bila kikombe si mchezo Bro..!

Ameandika Histry kwa majogoo wa London.

Bado namuelewa na nadhani Fergie pia alielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…