mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwema mambo vipiHuku kwema jamani??
Kwema mambo vipiHuku kwema jamani??
Mababa siku zote watu wa fujo
Hahahaha hatariNdiyo jirani
View attachment 1526401
TH mambo vipiWoow.....[emoji18]
AiseeAulurophobia ni ugonjwa wa kisaikolojia wa mtu kuogopa paka. Adolf Hitter ni mmoja ya watu waliyokuwa na ugonjwa huu.
NopeAdolf Hitrel katika maisha yake ameuwa zaidi ya wazungu Million 6. King Leopold II ambaye alishawahi kutawala Congo ameuwa Waafrika zaidi ya Million 16.
Je ushawahi kuambiwa hili katika historia?
Du hatariKatika wilaya ya Madhya Pradesh nchini India polisi wanaofuga masharubu (moustache), wanalipwa mshahara mkubwa tofauti na wasiofuga . Sababu wanaamini polisi wenye masharubu ni wenye heshima zaidi.
Hahahaha rekodi zingine bhanaBINGWA WA KUJAMBA DUNIANI
Unaweza kujamba ushuzi mmoja kwa zaidi ya dakika 2 na sekunde 42??
Basi Bernard Clemmens kutoka Katika jiji la London nchini Uingereza anashikilia rekodi ya kujamba ushuzi mrefu kuliko binadamu yoyote duniani
Bernard Clemmens aliweza kuachia ushuzi kwa muda wa dakika 2 na sekunde 42 hivyo akapewa cheti cha kutambuliwa na kitabu cha rekodi za dunia
Nitamgoogle nimjue zaidi1) Thales wa Miletus mwanafalsafa wa kwanza wa kigiriki, alikuwa ni mwananyota (astronomer) na mwanahisabati
Inakadiriwa alizaliwa mwaka 626 kabla ya Yesu kristo na kufariki mwaka 548 kabla ya Yesu Kristo
Na yeye ni miongoni mwa wanafalsafa wale 7 wakubwa zaidi katika nchi ya Ugiriki
Na yeye ndio anajulikana kama mwanzilishi wa ustaarabu wa Magharibi ( Western civilization)
Thales alifundishwa falsafa nchini Misri
Na baadhi ya wataalamu wanasema kuwa Thales alikuwa akiita Misri kama ni eneo la elimu
Yap2) Pythagoras wa Samos
Nadhani wote tumesoma Pythagoras theory tulipokuwa sekondari basi ndie huyu aliyeanzisha nadharia hiyo
Wengine humuita baba wa hesabu
Inakadiriwa aliiishi afrika kwa zaidi ya miaka 20 Akiwa anafundishwa mambo mbalimbali ya kifalsafa
Tupo WengiLakini kwanza kabisa double agent ni nani?*
Tunaweza tukasema ni afisa usalama wa tasisis au serikali ambaye amepewa majukumuu ya kuichunguza taasisi au nchi nyingine lakini wakati huo huo anakuwa tena anafanya kazi hiyo hiyo kwa ajiri ya taasisi au nchi anayopaswa kuichunguza dhidi ya taasisi au nchi iliyomtuma! Wengi wanasem double agent anaweza kuwa matokeo ya tamaa ya pesa, kulazimishwa( baada ya kutishiwa kufanyiwa kitu kibaya), mapenzi tu, yaani mtu anapenda tu kuwa double agent, kupandikizwa kwa makusudi( marekani wamefaidika sana na aina hii hasa Mashariki ya kati) au inaweza kuwa ni sababu ya mitazamo…
Na kwako piaJumanne njema kwa wana likes wote. [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Hahaha[emoji23][emoji23]View attachment 1526637
Am doing fine....Uwe na siku njemaaAm good.....how about you??
Mambo safi kama Aseno na Ushindi[emoji51]TH mambo vipi