myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wagonjwa Mungu Mwenyezi awaponye 🙏 🙏 🙏
Mi mzima, hofu juu yakoSalaam bwana Moud, za kwako?
Mtoto mdogo kama huyu mpaka mtu unakuja kuomba ushauri jf!!!
Amin[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema na yenye utulivu...
Baadhi ya majina ilikuwa lazima yakatwe, maana baadhi ya majimbo yalikuwa na wagombea 50 mpaka 200.Wajumbe waliokata majina Mungu anawaona[emoji23][emoji23]
Amin[emoji120]Mungu awape "wenza" wenye kuhitaji[emoji120][emoji120][emoji120]
Amin [emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Amin[emoji120]Wagonjwa Mungu Mwenyezi awaponye [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hapo kwenye kufyeka sasa.....Baadhi ya majina ilikuwa lazima yakatwe, maana baadhi ya majimbo yalikuwa na wagombea 50 mpaka 200.
Lazima mengine yafyekwe
Wakati mwngne ni vyema kuikamata Imani ili ubaki salama.barikiwa sanaNegative thoughts kama zipi mkuu? Suicide? Sense of worthlessness? Regrets? Condemnation?
Unakijua chanzo cha hizo negative thoughts? Lazima kuna chanzo...kufiwa, kuachwa na umpendaye, kukata tamaa kimaisha, kujilinganisha na wengine hasa waliofanikiwa, matatizo ya kiafya, trauma utotoni, migogoro ya kiroho, mental/psychological issues, msongo wa mawazo?....Hebu jipeleleze kwanza kinafsi uone kama kuna chanzo cha hayo mawazo. Ukipata angalau fununu ya chanzo chake ndiyo itakuwa rahisi hata kujua jinsi ya kukabiliana nayo.
Ila kama unamwamini Mungu upande wa Wakristo mahali pazuri pa kuanzia ni kuwa karibu naye kupitia sala za kweli kweli. Ombea amani yako. Roho Mtakatifu aje akufariji na kukuongoza. Akukumbushe kuwa wewe ni wa thamani sana mpaka mwana wake Yesu Alikuja kukufia. Aondoe hayo mawazo ya giza na kuleta tumaini moyoni mwako.
Mimi nikiwa nimebanwa sana na mawazo mabaya ambayo wakati mwingine hata hujui yametoka wapi huwa natumia njia hiyo. Nalia weeeee basi napata amani ya ajabu na mambo yanakwenda sawa. Vinginevyo unaweza kuonana na wanasaikolojia na washauri nasaha. Na kama ni mawazo ambayo huwa hayaondoki basi linaweza kuwa ni tatizo la kiafya ya ubongo kama depression na mengineyo. Ukionana na madaktari watajua la kufanya na kuna madawa ambayo unaweza kutumia ili kuondokana na hali hiyo. Pole. Mungu Akupe amani yake [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nami buherii kabisaMi mzima, hofu juu yako
Wazazi wake wanamuendekeza huyu mtotoDuh! watoto wana mambo