Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante bro
 
Kwamba hawezi kupata ushindi ni dhahiri.
Ataleta ushindini, ila lililo la muhimu kwake ni kuyapokea matokeo ikibidi kuyakubali.
Hata hivyo chaguzi hizi zina mawakala, wakati mwingine taarifa za mawakala wako zinakupa picha kuwa umepata USHINDI. hapa ndipo panapoleta shida.
Serikali iendeshe uchaguzi bila upendeleo ili kumaliza mchakato huu kwa AMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…