Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kevin De Bruyne

Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne ameweka rekodi ya kuhusika katika mabao 100 ya Ligi Kuu katika mechi 155 alizocheza, akifunga mabao 35 na kutoa asisti 65.

Pia msimu huu ameweka rekodi ya kutoa asisti 20, ambazo zinamfanya kufikia rekodi ya Thierry Henry aliyefanya hivyo msimu wa 2002/03.
 
Kwa msimu huu ameweka rekodi ya kuhusika kwenye mabao 33 ya City akiwa ametoa asisti 20 na kufunga mabao 13, anakuwa kiungo wa pili wa kati kuhusika kwenye mabao mengi ndani ya EPL nyuma ya Lampard ambaye alihusika kwenye mabao 36, akiwa amefunga mabao 22, na kutoa asisti 14 msimu wa 2009/10.
 
Hahahah tuwasubirie wajumbe watupe burudan october
 
Raheem Sterling

Fundi wa Manchester City Raheem Sterling amefunga mabao 20 msimu huu kwenye mashindano yote jambo lililomfanya kuwa mchezaji wa pili raia mwenye uraia wa England kuifungia City idadi hiyo ya mabao nyuma ya Brian Kidd ambaye alifunga mabao 21, katika msimu wa 1976/77.
 
Rekodi safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…