Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Miaka 70,000 iliyopita binaadam walikuwa mbioni kutoweka duniani, Dunia yote ilibaki na binaadam wasiyozidi 2,000
Binadamu aliwezaje kusavaivu porini huko na kwenye mapango kwenye competition kubwa ya chakula na resources zingine? Mtoto mwenyewe mpaka sijui miaka 10+ huko ndiyo angalau aweze kujilinda. Kuna kitu hakiko sawa mahala kwenye hii ishu nzima...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…