moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wamempa agombee jimbo gani bro?Nimeamini ccm ina wenyewe,DED wa dodoma Mr Kunambi,kaenguliwa uteuzi jana na leo katangazwa mgombea ubunge bila hata kupitia kura za maoni .Maajabu haya yanapatikana Tanzania ya ccm tu
ShwariNatumaini mtaa huu hamjambo..
Mwaka huu tutaona mziki wa kukata na shoka
Nmepoteza source, nmejaribu kuona tena sijapata. Wacha nikague nikipata nitakujuza.Wamempa agombee jimbo gani bro?
[emoji849][emoji849]Uzuri wa ku Date na Mtu mzima Hata Ukichepuka, Anajua ni Utoto tu unakusumbua, Ukikua Utaacha.
Au unamuongelea huyu Kunambi aliyepewa tiketi kwenye jimbo la Mlimba mkoani MorogoroNmepoteza source, nmejaribu kuona tena sijapata. Wacha nikague nikipata nitakujuza.
Mimi mzima kabisa. Vipi na wewe jina limekatwa? 😁Sijambo kabisa za wewe