Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amin[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Afrika hakuna kitu kamanda. Huyu alihangaika mpaka kumwaga damu na mambo ni yale yale tu. Wale makamanda wa Mali wamejipa miaka mitatu. Wataiba weeee halafu atakuja mwingine pale naye aibeee. Hovyo tu !!!
Huyu ndiyo amenishangaza sana, maana watu walimpigania, wakamwaga damu, wameumizwa wakateswa mpaka amerudishiwa ushindi wake.
Ameongoza vipindi vyake vya kikatiba, lakini bado anataka kutawala tena.
Pumbavu sana.
Kwani akimuachia mwingine atapungukiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…