Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aseee, yaani Dunia hii kumbe kuna urafiki wa kawaida kwa jinsia tofauti?
Acha mbwembwe bhana, yaani rafiki yako mpaka afikie hatua ya kukutumia nauli hapo jua dudu linahusika.
Nadhani pepo lina nafasi kubwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Tangu lini kukawa na urafiki kati ya simba na mwanambuzi? Hata nyie mnajua kabisa mkienda kwa hao marafiki zenu wa kiume kuwa kuna possibility kubwa ya kuliwa ndiyo maana mnafanya maandalizi pendwa - kunyoa, kujipendezesha na kwenye mkoba kila kifaa cha muhimu kinakuweko.

Halafu marafiki wanakuwaga watamu balaa labda ni kutokana na ile sense kwamba umebahatisha tu na siyo wako. Friends with benefits [emoji1547][emoji1547]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…