Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii miongozo ya kifamilia inapatikana wapi sasa au ndio ipo vichwani mwa wazee wa familia?
Kwa kifupi watu wote wa kanda ya Pwani kwa maana ya Wazaramp, Wandengereko, Wakwere, Wakutu na Waluguru ni watani wa Wasukuma, Wanyamwezi, Wadigo, Wasambaa, Wapogoro nk.
Hili halijaandikwa popte lakini wenyewe wakikutana kwenye sherehe na misiba wanataniana sana.
Wahaya wao wanataniana na wakuria, wajita, wajaluo na waha nk.
Makabila ni mengi lakini kila moja wanajuana wa kutaniana nao
 
Shukrani sana bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…