Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HelloView attachment 1550133
[emoji124]
Duh!! Atazaliwa nani hapo
HiHello
Kweli kabisaasilimia 50-90 ya mwili wa kiumbe hai ni maji. Hivyo mtu anaweza kupoteza uhai kwa haraka zaidi kwa upungufu wa maji.
Sema asante sasa π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi kuachaHujaacha tu kurap!?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujifungua ni mziki mzito na sidhani kama ni wa kurahisishwa na ulaji wa tende tu. Nilishaingia leba na kushuhudia mtoto akitoka laivu...Oh switi Jizazi. Niliapa kuwa sitatembelea uvinza tena lakini time heals everything...[emoji85]Tende zina oxytocin hii husaidia katika kurahisisha mama wakati wa kujifungua.Hivyo ni vyema mjamzito kutumia tunda hili. Pia tende huongeza kiwango chamaziwa.
Uko poa?
Hahahahaha am your in lawππππππ
Binti mpole ni mtani wangu na aone hapa