Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wanaopenda kulelewa vinawalipa
Inadaiwa Chunusi ni aina ya jini au shetani anayeishi majini. (Mto, Ziwa, Bahari)Aaah kumbe
Sawa moudy,kuna rafiki yangu aliuliwa na chunusi baharini nilibaki kujiuliza huyo chunusi anakua kwenye umbo gani?kubwa kama mamba ama? Ulikua msiba mzito. May her soul Rest In PeaceInadaiwa Chunusi ni aina ya jini au shetani anayeishi majini. (Mto, Ziwa, Bahari)
Chunusi inadaiwa humchukua amtakaye katikati ya kundi la watu wengi.
Kwahiyo anaweza kumvuta mtu aliye nje ya maji akawaacha waliomo ndani ya hayo maji.
Niliwahi kushuhudia tukio la aina hiyo kwenye kijiji furani mkoa furani.
Inashangaza sana.
Mitaani mtu anayependwa na wengi hasa anayependwa na wanawake tunamfananisha na "chunusi".
Niliposema "hapa kuna chunusi" nilimaanisha hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msukuma Anaweza Kupiga Simu Redioni Awasalimie Marafiki Zake Ambao Wapo Nae Hapo Hapo Wanasikiliza Hiyo Radio [emoji51][emoji51]
Poa sana. siku mingiMkuu niaje
KabisaSafiii
Pole sana.Sawa moudy,kuna rafiki yangu aliuliwa na chunusi baharini nilibaki kujiuliza huyo chunusi anakua kwenye umbo gani?kubwa kama mamba ama? Ulikua msiba mzito. May her soul Rest In Peace