moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
SawasawaWatoto wanatakiwa wapewe vyakula vya protini kwa wingi zaidi. Vyakula hivi ndio vinahusika katika ukuaji wa tishu na miili yao kiujumla.
AiseeHUDUMA YA KWANZA.
1.kwamtu aliyegongwa na nyoka anatakiwa haraka afunge juu kidogo ya alipogongwa kwa kitambaa safi au kitu cha kukaza.
Kisha aondoe meno kwenye eneo alogongwa kama yapo.
Halafu achanje ili patoke damu.
Aitembee mwenyewe kama kuna uwezekano huo.
Awahishwe hospitali.
Hshahaha, hii ndiyo bongo
Maskini mtoto anateseka. Kweli kushukuru muhimu sanaBado wanapambana. Hydrocephalus inaweza kuwa managed kwa kuwa wanaondoa hayo maji mara kwa mara japo wanasema hii ni extreme case kwa sababu mtoto pia ni kipofu. Ukizaa mtoto mzima pia ni kumshukuru Mungu sana kwa sababu ukipata mtoto mgonjwa chronic ni mtihani sana [emoji1545]
Mkuu ugali wa nini huoUsukumani rahaaaaaaa [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1553235
AminMungu awaponye wagonjwa wote[emoji120][emoji120]
Mabeberu siyo watu. Walimtumia huyu mwamba mpaka dakika ya mwisho...akaukataa mpaka umakamu wa rais...sad !!!
Angeuliza andaeitini ningejibu. We hapana kwa kweli [emoji51][emoji51][emoji51]Mkuu ugali wa nini huo
Akafishwa kama mnyama poriMabeberu siyo watu. Walimtumia huyu mwamba mpaka dakika ya mwisho...akaukataa mpaka umakamu wa rais...sad !!!
Uwanja wa Mkapa umetapika. Utopolo hoyeee !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Jioni ya Yanga