Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli kuna mengi ambayo hatuwezi kuyaiga, lakini ni ukweli usiopingika kwamba kuna mengi pia lazima tutaiga.
Haiwezekani kiongozi wa watu milioni 60 kutajwa kwa mema na mazuri pekee na watu wote hao.


Mi navyojua ukikubali kuongoza watu jiandae kusikia na kuvumilia kauli zao.
 
Ni kweli. Ukubwa ni jalala ...na (kinadharia) ukiupenda ukubwa basi uupende na ujalala wake [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…