Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

swadakta, najua mhenga mwenzetu andjul atakanusha umri wangu
[emoji23][emoji23][emoji23],Kwa umri wako huo huyo mzee ni sawa na baba yako.
Maana mzee wa Mwakaleli alikuwepo wakati wa sekeseke la kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar mwaka 1984, ambayo ilipelekea kufukuzwa ndani ya CCM rais wa visiwa hivyo Aboud Jumbe na Waziri Kiongozi wake Brigedia Ramadhani Haji Fakhi
 
hapo ndio munazidi kunishangaza
mbona andjul haonekani kama ni mzee mwenye umri wa miaka 60 kwenda juu.
aigoooo huenda anatumia vumbi la congo
 
hapo ndio munazidi kunishangaza
mbona andjul haonekani kama ni mzee mwenye umri wa miaka 60 kwenda juu.
aigoooo huenda anatumia vumbi la congo
[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee mpemba shwaini zako
 
Mzee mwakaleli ajali ya mv bukoba alikua sec kati ya o level au a level. Humu bana bana acheni hizo namuita anko maana kwa kukadilia ana umri kama wa anko wangu wa sita kati ya nane kuzaliwa. Mnamzeesha anko

Halafu moud wewe mwenyewe sio muhenga ka kijana kabisa basi tu unataka gunia la shikamoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…