Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa West Ham David Moyes anasema alikuwa na helikopta tayari kumchukua juu kwa juu Gareth Bale aliyetoka Tottenham na kuelekea Real Madrid mwaka 2013 wakati huo akiwa kocha wa Manchester United. Mshambuliaji huyo wa Wales, 31, hivi karibuni alirejea Spurs kwa mkopo. (Mail)
 
Kocha wa Middlesbrough Neil Warnock anasema Yannick Bolasie, 31, alistahili kulaumiwa kiasi fulani kwa kwa uhamisho uliofeli kwenye klabu hiyo. Winga hiyo alipangiwa kuhamia Boro kutoka Everton siku ya mwisho ya uhamisho. (Teesside Gazette)
 
Kampuni iliyochukuliwa na Ligi ya Primia kuchunguza wachezaji ikiwa wana virusi vya corona imeunda vituo ambapo mashabiki watafanyiwa vipimo kwa dakika 15 kujaribu kuharakisha hatua ya kurejelewa kwa michuano kama kawaida. (Daily Telegraph - subscription required)
 
Meneja wa St Etienne Claude Puel anasema mchezaji wa Arsenal mwenye umri wa miaka 19 anayecheza safu ya ulinzi ya Ufaransa William Saliba "alikuwa na hamu kubwa ya kurejea " katika blabu kwa mkataba wa mkopo kabla ya hatua hiyo kukwama msimu huu . (L'Equipe, via Mail)
 
Hivi kweli wewe Anko nikupendae wakunichambua kama karanga?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiukweli ajali ya Bukoba ilinikutia nyumbani. Lakini pia ufupi/udumavu wangu ulinichelewesha kuanza darasa la kwanza, kwa maana hiyo nilimaliza darasa la saba nikiwa kijeba cha miaka 16.
Mimi ni mmoja wa vijana wa CCM niliye shiriki kukimbia kiccm (kukimbia kwa kuruka ruka huku kisigino kinagonga matakoni) kwa mfumo wa kangaroo.

Vita ya Kagera nilikuwa na akili zangu kabisa,handaki nilishiriki kuchimba kwa bibi yangu,yale mashilingi ya Idd Amin alikuja nayo mzazi mengi tu tukawa tunatapelia vibama usiku kilabuni.

Hawa yuu binti mpole [emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anko bana yaani kila unachhoongea naona unatania tu ila mv bukoba kuna sehemu umeisema humu tena kwa kirefu

Am fine anko. Familia na aunt wazima?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana yaani kila unachhoongea naona unatania tu ila mv bukoba kuna sehemu umeisema humu tena kwa kirefu

Am fine anko. Familia na aunt wazima?
Tumeisha anza kufungana Anko [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ndio nimetoka kulumbana na Mpemba asubuhi.
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri wote. Naamini nanyi huko Mungu anazidi kutenda.
Tumshukuru Mungu [emoji120]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anko bana

Amen. Huku salama kabisa
Tumeisha anza kufungana Anko [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ndio nimetoka kulumbana na Mpemba asubuhi.
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri wote. Naamini nanyi huko Mungu anazidi kutenda.
Tumshukuru Mungu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…