Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaj.
Haya niambieni basi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana yaani kila unachhoongea naona unatania tu ila mv bukoba kuna sehemu umeisema humu tena kwa kirefu

Am fine anko. Familia na aunt wazima?
Hivi MV Bukoba limekuwa tukio la kupima umri?
Kama ni hivyo mi ni kibabu kabisa.
Maana tukio la Jumanne Lume Mwiru na wenzake kuhusika na mauaji ya Kevin Rwakatare na watu wengine zaidi ya mia8 nalikumbuka kama limetokea jana tu
 
Endelea kunilinda mzee wa pwani maana Esta ananichambua balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…